Isaiah 46:6

6 aWengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao,
na kupima fedha kwenye mizani;
huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu,
kisha huisujudia na kuiabudu.
Copyright information for SwhNEN